Juu ni M/Kiti wa Tawi la Yanga Mwanza mjini na mjumbe wa mkoa Salehe Akjida
akisisitiza jambo kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wa Yanga hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa Tawi la Yyanga Sanjo Usagara Mwanza.

Mjumbe wa kamati tendaji ya Yanga mkoa wa Mwanza Salehe Akida wanne kutoka kushoto waliosimama mbele akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufungua tawi la Yanga Sanjo Usagara Mwanza
Tawi la Yanga Sanjo Usagara - Mwanza







0 Comments